Sauti Sol and Nyashinski better than gospel artistes, asema Procuer Amz


Huku wasanii wa muziki wa injili wakijipata kwenye corner, Producer Amz wa Tempoz Records ametoa kauli yake kuhusiana na utata wa nyimbo za injili.
Kulingana na Amz, Wasaniii wa nyimbo za Gospel wanaoibuka wameshindwa na kazi, huku akidai wasanii wa secular Sauti Sol na Rapper tajika Nyashinski wanafanya kazi hiyo zaidi yao.


Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!