RAPPER MIKIRINI ALIKUA COUNCILLOR NA KUPOKONYWA KITI KWA BY-ELECTION.


Katika pitapita zetu tulikumbana na post ya rapper Mikirini na bila shaka post yenyewe ilitushangaza. Mwaka wa 2012,msanii alishinda kiti cha councillor na kukatokea tashwishi kidogo na kwenye by-election basi akaambulia patupu.
Mikirini kwenye post yake alidai kuwa a nataka kujiunga na siasa tena.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.