ATI MSANII C'ZARS AMEFANYA NINI?

 Rapper Kaa La Moto akutana na Babake msanii C-Zars aliyepotea na swala zito laibuka.Je msanii wa Bambam "amka ukatike" alipotelea wapi.Ndilo swala linalomfanya rapper wa Kenya Local Music is dead kukosa amani.


Huyu ni mmoja kati ya wazee wanaokubali mziki wangu jijini Mombasa. .Baada ya mazungumzo marefu,aliniuliza swali nililoshindwa kujibu.. sijui mnaweza nisaidia. .Aliniuliza #Czars yuko wapi?

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA