OTILE BROWN HACHOKI KUANGUSHA VIBAO VIKALI NA RAUNDI HII AMEACHIA KIBAO CHA KIZUNGU "EVERYTHING"


Alipoanza wengi walidhani atakwama ila Otile Brown hakwami wala kutorudi nyuma.Baada ya kuangusha vibao kama Deja vu na Imaginary love,Brown amewachia kibao kipya kwa jina EVERYTHING. Otile ameamua kuyavulia maji ya kina kirefu kwa kujitosa kwa mdundo kwa lugha ya kimombo.Huku wengi wakimzoea kuimba kwa lugha ya kiswahili kwa sababu ya mizizi yake ya uswazi.Hivyo basi, tulia na usubiri kitu kikali kutoka dreamland music chini ya Produza Dr.Eddie.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA