Posts

PRODUZA TEE KUCHUKULIWA HATUA KALI YA KISHERIA KISA VYOMBO VYA MUZIKI.

Image
PRODUZA TEE KUCHUKULIWA HATUA KALI YA KISHERIA KISA VYOMBO VYA MUZIKI. Ni habari zitakaso shangaza wengi ila mwanahabari wetu aliingia chini ya Carpet na kupiga uvumbuzi wa swala hili nyeti. Baada ya Produza Tee kutolipia malipo ya kila mwezi ya elfu kumi kwa kuazimwa vyombo vya studio na mmliki na meneja wa studio za Da face music kwa jina Zaky,sasa yupo kikaangoni mwa sheria na Zaky ameamua kuyaweka wazi na kumchukulia hatua Kali za kisheria.Katika mahojiano yetu na Zaky alinena haya....... "Mimi huwa napenda kukulalamikia kuhusu Tee sio kwa sababu mimi ni mnyonge la najaribu kuwa mtu you know..kuwa na subra ni moja ya sifa za utu... last time ulionesha kutokufurahiswa na hatua nilizo mchokulia Tee na si wewe tu but washikaji wengi waliniomba ni take easy.. kabla sijaitoa kesi polisi Tee alikua ananilipa vizuri tu.. nikaitoa iyo kesi polisi... tee akaenda dubai bila kuniambia.. nikawa namtafuta... amerudi tee hanilipi kama makubaliano yetu ila this time around kaka nach...

ROSE MUHANDO AZIDIWA NA MADAWA YA KULEVYA!!! KATOROKA NYUMBANI!!!

Image
MAMBO yanazidi kumwendea vibaya staa wa zamani wa injili Rose Muhando ambaye sasa anaripotiwa kusakwa na kituo maarufu cha ushauri nasaha jijini Dar, Sober House.      Taarifa zinadai kuwa mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa kituo hicho ili waweze kumwokoa baada ya kutekwa na utumizi ya dawa za kulevya. Chanzo kilicho karibu na mwanamama huyo kimeeleza kuwa ametoweka nyumbani kwake mjini Dodoma baada ya kulemewa na unga na sasa kiongozi mmoja wa dini anaripotiwa kujitolea kumsaidia. “Kuna kiongozi mmoja wa dini hapa Dodoma amejitolea kumsaidia Rose baada ya kusikia hali yake ni mbaya zaidi. Kaufuata uongozi wa Sober House wamsake popote alipo na wakimpata wampeleke katika kituo hicho moja kwa moja na gharama zote yeye atazishughulikia,” gazeti la Wikienda limearifu.

EXCLUSIVE ONE ON ONE INTERVIEW: MEET MUSICIAN ZAKKY

Image
PWANI USANII:WHATS YOUR REAL NAME AND WHICH NAME DO YOU USE ON STAGE? ZAKKY:I'm Michael Ethikon and musically known as Zakky. PWANI USANII:TELL US A LITTLE BIT ABOUT YOURSELF. ZAKKY:I was born in 1993 in Nakuru and brought up in central province,went to Purple Heart Academy,then joined Kirimara High School. PWANI USANII:WHAT INSPIRED YOU TO DO MUSIC? ZAKKY:To me, music inspiration came from my late cousin who was known as Kelvin Lokom,musicaly known as Kylo,who realized that I had vocals after he found me singing his written songs. That was way back in class seven where i only concentrated with my education and my aim was to join a good high school and finally make it to the university.I wrote songs,then sing them to Kylo,and he would congratulate me, this made me write many songs before completing my primary school.I also used to sing in church services back in Purple heart academy. PWANI USANII:SO WHAT HAPPENED IN HIGH SCHOOL? ZAKKY:In highschool,thanks to God,in...

COMMENT YA ZARI KWA AKOTHEE YAZUA BALAA!

Image
Comment ya Zari wa Diamond Platnumz kwa msanii Akothee baada ya kupost hiki  Zari acomment kwa Akothee ambae alipost instagram kuwa "Ni nafuu kwake kuwalisha na kuwatunza mbwa 32 lakini sio kuwafurahisha marafiki 5...!" Kutoka +254, msanii wa Kenya Akothee ambae amewahi fanya hit ya sweet love na mkali wa bongo fleva Diamond Platnumz. Inaonekana alipost hivyo kutokana na fadhila mbaya anazopata toka kwa marafiki zake. Tazama alichopost na majibizano yao.  

HUBA MAHABUBA!!!!! STORI YA MSANII BEKA THE BOY NA MPENZIWE YAVUJA!!!!

Image
HUBA MAHABUBA!!!!! STORI YA MSANII BEKA THE BOY NA MPENZIWE YAVUJA!!!!!! Sanasana kwenye pitapita mitandaoni ndani ya account ya Beka ya fesibuku hutokosa kuona picha kadhaa za wawili wapendao,ambapo ni Beka na binti Fulani wa kizungu. Jambo hili lilitufanya kuingia chini ya carpet na kupeleleza zaidi kabisa.Hapo ndipo tulipokutana na Bi. Francesca mpenziwe msanii Beka. Baada ya maswali mawili matatu Francesca alifunguka na kutueleza kuwa alipatana na Beka mwaka kama mwaka mmoja na nusu uliopita katika tamasha la Extravaganza lililofanyika ndani ya La Rosada beach , Malindi.Wakati huo Beka alikuwa jukwaani akidondosha wimbo wake "Mtoto Wa Ghetto." "After that we start getting in touch as friends do...and was for quite long time since my eyes changed and started to look at him with other eyes!The guy was very polite and mostly he was not showing interest for me!We got closer day by day!The voice was killing, the heart was clean, the manners were gentle and soft...

MSANII ANUSURIKA KIFO KISA HAJUI KUOGELEA!!!!

Image
Ilikuwa wakati wa video iliyokuwa inaandaliwa baharini na kila mmoja alikuwa katika hali ya kujifurahisha ndani ya maji. Tazama tukio lote hapa! ----- >> https://youtu.be/NRvHG79vWE4

STESHENI MPYA YA REDIO PWANI ITAKAYOWAENUA VIJANA.

Image
Ni stesheni mpya kabisa iliyo katika matayarisho na tayari kila kitu kishakamilika. Huku bado wakitafuta mawimbi kabambe na upeperushaji vipindi uanze rasmi,88.2 ndio mitabendi ya redio ya BOSS FM. Stesheni hii inayoongozwa na kijana shupavu kabisa mwenye maono ya kuwaendeleza vijana wenzake,Morris Mbetsa almaarufu Young Boss amejitwika jukumu la kuwahamasisha vijana kuwa maisha yao ya mbeleni yapo mikononi mwao. Boss FM itakuwa na ofisi zake maeneo ya Mariakani na itasikika kupitia mitabendi ya 88.2 na kusikika Kwale,Mombasa,Kilifi,Malindi,Voi,Taita na vitongoji vyake.