Posts

DAAAAAAAHHHHHHH PWAGU KAPATA PWAGUZI!!!!! LEO MWANDISHI AU PAPARAZI WA PWANI USANII ALETWA HADHARANI!!! PEOPLE DAILY.

Image
Soma story yenyewe hapa http://epaper.peopledaily.co.ke/#folio=16 #Hisani Ya People Daily

UDAKU WA WIKENDI!! ONYO UNDER 18 MSITAZAME!!!:PICHA MOTOMOTO ZA KIMAPENZI ZA MJ AKA JUMA SHIBE NA ESHA BUHETI.JE WANA UHUSIANO?

Image
Yaonekana Juma Shibe imekuwa Shibe kweli si haba; Muigizaji maarufu Juma Shibe almaarufu MJ aliyetikisa runinga zetu kwa vipindi kama Utandu, Almasi na Sumu yaonekana ameamua kuyavulia nguo maji na kuyaoga hadharani. Mj anayepe­ndwa na mabinti kwa uigizaji wake wa utanashati na uloverboy kupindukia amevuka boarder na kuingia nchi jirani bongo kutafuta jiko.  Hivi majuzi alijaza picha zake na muigizaji star wa Bongo Esha Buheti zinazozua tetesi kibao kuhusiana na uhusiano wake na binti huyo. Kitu kisichoekeweka vizuri ni Je picha hizi labda ni za kipindi au filamu mpya wanayoandaa? Ama wawili hawa wapo na uhusiano??? Maswali haya bila majibu bila shaka yatajibiwa na picha hizi.

NYOTA NDOGO APATA BONGE LA OFFER HUKU AKIWAHIMIZA WASANII KUTOA NYIMBO ZAKUDUMU.

Image
Mwenyewe husema alitengeza jina zama zamani na Sasa Ni wakati wa kuchumia juani kwani waambavyo wahenga; mchumia juania Julia kivulini. Hivyo basi,malkia wa muziki wa pwani au ukipenda ngome ya Sanaa ya pwani Nyota Ndogo aliwapasha wenzake kuwa Siri kuu ya kukita kama kisiki kwenye muziki Ni kutoa nyimbo zinazodumu.Huku akieleza jinsi alivyopata offer nono kutoka kwa mbunge Fulani,Nyota alikuwa mwenye wingi wa furaha akiyapachika haya mtandaoni........ "Nimepata simu kutoka kwa mueshimiwa.ilikua hivi. HALLO HABARI YAKO MAMA NIKASEMA MZURI. MIMI NI FULANI DUH NIKASHTUKA.NIMEKUPIGIA NIMEAMBIWA HII NUMBER NI YA MTU ALIIMBA ILE NYIMBO YA WATU NA VIATU.NIKASEMA NDIO.AKASEMA HIO NYIMBO NINZURI SANA KISHA AKACHEKA.ALAFU AKASEMA NATAKA NIKUPE KAZI KWASABABU YA HIO NYIMBO UNATAKA PESA NGAPI?......yani anataka nikaimbe watu na viatu pekeake.unaweza kutunga nyimbo ukailia hela hata miaka ishirini.nyimbo ikasikizwa na watoto na watu wazima.nyimbo ikafatiliwa mpaka na wah...

AISHA BUSHIRI A.K.A MAAMA MADIKODIKO WA PILIPILI FM.

Image
She is not new to any of us. Aisha has been in the limelight for 15 years now. She started as an actress, and has featured in various local Tv Series like Miliki on KBC, Mahabahaba on Citizen Tv, Kipepeo and many others. She was also featured in the short film by Safe Pwani, known as Watatu. Aisha Bushiri hosts a Radio Show at PiliPili FM, known as Chachando Za Taarab every Monday to Friday. Maama Madikodiko was recently nominated in this year's Pwani Celebrity Awards under the category of Female Radio Personality of The Year.

»»»»»»»»Silver D«««««««

Image
Rama mshami Nyondo almaarufu Silver d, ni msanii anayeimba muziki wa pwani Flava.Silver D ni mzàliwa wa papa hapa Mombasa na vilevile amekulia hapa mjini. Msanii huyu aliyebarikiwa na kipaji si haba alianza muziki alipokua mwanakwaya wà Sunday school ambapo kakake mkubwa alikuwa mwalimu. Mwaka wa 2013 ndipo Silver-D aliposajiliwa kwa studio ya Bigfoot music chini ya Produza Baindo. Hapo alitoa kibao ‪#‎ kisa_Dar‬ kilichompa nafasi kujulikana zaidi kwenye ulingo wa Sanaa ya pwani. Hivi sasa msanii huyu ametayarisha kibao kipya kwa jina NISUBIRI. Silver-D alikuwa na haya ya kunena kuhusiana na malengo yake ya muziki................"Nikufanya kua kiungo wakipekee na mtu mwenye kuigwa na watu mbali mbali madhumuni yangu katika sanaaa nikutukuza kiswahili na kukifanya ni moja wapo ya njia yakutuleta pamoja kupitia nyimbo zenye kusisimua na zenye mafunzo..naamini faraja yangu ipo mikononi mwangu licha ya utaratibu wangu wausanii naamini pole pole ndio mwendo na...

UJUMBE WA KASSAMOÑEY KWA VIDEO YA TULIZA NYAVU.

Image
"I'M not Hating But The truth Must be Told #‎ KYALO‬ aliwaenjoy Akina Susumila Na King Kaka Bana Video ImeEDITIWA sa ukiwatch unadhani Uko Play station Sijui Kyalo alikuwa Anajaribu Kuinvent Game kupitia Video ya Hawa Jamaa ama... Ushawai Pita 100% ukajipata Umerudi 0% ivo ndo vyenye Hyo Video Iko... Kidogo wapigwe animation ki-3D Na Hiyo sa ni Video ya watoto kuwatch waki imagne venye Kaa la Moto ameinspire Kyalo na Fire Effects Napia Naeza kuwa Namlaumu Kyalo kumbe Kyalo Aliona hawa Wasee hawako serious nika wanajoke ndo akaamuwa Pia Ajoke Na Video yao Wacha Ntamuuliza Nikiamka ‪#‎ NO_HARD_FEELINGS‬ I'M just having fun ju Si Mchezo Kyalo Kutuliza Nyavu Samaki Wakaingia Box "

LIL SHAKES SHAKING THE COASTAL HIPHOP EMPIRE.CHEV OUT HIS "GETTIN MONEY", VIDEO HERE!!

Image
 Lil Shakes is an upcoming hiphop rapper and a song writer from Mombasa Kenya." He loved rap music since he was young and so he grew up with a passion for music and ambition of being an international rapper. He took music seriously as a career at the age of 18,When he recorded his first truck single"Gettin Money" in the year 2014. Since then,the song has done well by making him popular in the music industry.  His inspiration comes from well known hardworking Kenyan rappers including; Rabbit,Khaligraph Jones and Jay A for their great work in the music industry. This young, hardworking and independent rapper believes that hardwork pays and his dreams of becoming one of the best rappers are valid. "Lil Shakes is currently working on a new single which is expected to drop very soon."