Posts

KUTANA NA MSANII WA KIZAZI KIPYA KEN-MWENYEWE AFISA WA KWS ANAYEPIGANIA HAKI ZA WANYAMA PORI.

Image
Ni Afisa wa KWS ambaye anafanya muziki na amejitolea kufa kupona kulinda wanyama pori.Tulipata kumhoji Ken na hivi ndivyo mambo yalivyojiri..... Pwani Usanii:Wanakuitaje jina lako halisi na lile la usanii? Ken:Jina halisi la kitambulisho ni Kennedy Opiyo Onyango na la usanii ni Ken Mwenyewe. PU:Una miaka mingapi? Ken:Mi bado mtoto,nina 24 tu. PU:Unatokea wapi? Ken:Mi ni mzaliwa wa pwani na naishi Kinango ila nafanya kazi ya kulinda wanyama(KWS) Nairobi. PU:Ulianza muziki lini? Ken:Muziki nilianza nikiwa na miaka ishirini nikitunga rap music ila baada ya muda nikaona kipaji changu kina uzito sana pande ya rnb.So,naimba swahili rnb. PU:Tueleze kuhusu wimbo wako wa kwanza. Ken:Wimbo wangu wa kwanza nilirekodi Ziky records chini ya produza Johny Blaze.Wimbo wenyewe uliitwa saluti wa kuhamasisha jamii ili waweze kuona manufaa ya kuwalinda wanyama pori. PU:Kazi nzuri.Kuna wimbo wako uliovuma kwa jina 'mama usinifiche'.Tueleze kuhusu wimbo huo. Ken:Wimbo huo niliurekodi R...

COAST KENYA BEST MUSIC VIDEOS 2014

1.Coast Shwari-Kingsting & Dokta 2.Nimebadilika-Brown­ Mauzo 3.Phonto-Benso 4.Natamani-Brown Mauzo 5.Usiniulize-Chapati­zo 6.Usijali-Iddi Hemedi 7.Naona raha-Ally B 8.Naona bado-Sudiboy & Amileena 9.Intercontinetal scar-Hustla Jay 10.Kitete-Amoury Beybie 11.Ngoma Itambae-Susumila ft chikuzee 12.Bangereba-Dazlah 13.Baridi-Amoury Beybie & Nyota Ndogo 14.I do-Benso ft Miss GG 15.Yelele Yelele-Ally B 16.Hawajui-Rojo-Mo 17.Sijasahau-Dogo Richie 18.Jitambulishe remix-Rapdem ft Coast stars 19.Nylon guitar-P Day 20.Msup-Sis P & Nick Mumba 21.Nipe tena-Mwasi ft Band Kays 22.Mapenzi nayajua-Chikuzee ft Chege 23.Siwezi-Shembwana Masauti 24.Mimi pia-Rojo Mo 25.Kibebe-Chikuzee 26.Mia kwa Mia-Kaa la Moto 27.Tabasamu-Sis p 28.Usijisahau-Kalich­a 29.Mdogo mdogo-Sherphard 30.Ndoto-Shamaniz

TIMMY WA KIBAO 'WELL WELL' NA MEG-C WAFUMANIWA!! (PICHA)

Image
Msanii anayetamba kwa kibao well well na msanii mwanadada Meg-C walishikwa vipembeni hivi majuzi wakati wa tamasha la coast music awards.Wawili hao ambao wote ni wasanii wa Nairobi walionekana wakifuatana kama mabata na mwishowe Meg-C alimfuata Timmy nyuma nyuma hadi chumbani mwake.Kilichofuata usitake kujua..........

KUTANA NA ZIKY WA ZIKY: MWANAWE EMMY DEE

Image
Studio ya Justers masters inafahamika sana kwa ulezi wa wasanii wapya.Chini ya mbawa zake produza Emmy Dee na Malezi yake Prince Adio kutana na kipaji kipya kabisa,Ziky wa Ziky,,,, Pwani Usanii:Tueleza Ziky ni nani? Ziky:Mimi ni Ziky aka Ziky wa Ziky,mzaliwa wa Kwale.Kazini Ukunda Ibiza. Pwani Usanii:Ulianza muziki lini? Ziky:Nilianza mziki mwaka wa 2010 ila kurekodi ilichukua muda.Sikuwa na kazi wala familia ya kunisaidia.Ilichukua miaka mitatu kuurekodi wimbo wangu wa kwanza ambao n MAMA WANANGU,studio ya Jungle Masters kwa produza Emmy Dee. Pwani Usanii:Changamoto zipi unapitia kama msanii? Ziky:Kama tujuavyo kuitwa msanii ni kitu rahisi ila kulijenga jina liwe kioo cha jamii inachukua muda. Pwani Usanii:waweza sema muziki umekufikisha wapi? Ziky:Kwa sasa Emmy Dee ndio mzazi yaani yeye ndio anausimamia mziki wangu na namshukuru kwa kunipa nafasi hio nilokua nikiitamani kwa hamu kuu. Pwani Usanii:Ziky waweza toa shukurani kwa nani na nani? Ziky:Nawashukuru radio prese...

SIS P AONGEA KUHUSU USHINDI WAKE-KENYA COAST MUSIC AWARDS 2014!

Image
Mchumia juani hulia kivulini, juhudihulipa ndio misemo tunayoweza kumpa msanii wa Kike Sis P. Msanii huyu mwenye vibao vinavyotamba kama MSUPA na TABASAMU alishinda tuzo za Kenya Coast Music Awards jana na alikuwa na haya ya kusema....... "I want to take this opportunity to thank the almighty God for this far he has brought me, i never knew i would be recognized anywhere but here I am. Winning this award means alot to me, thanks to my loyal fans who have been supporting me through thick and thin, A big thanks to my producer Rabizzle for fighting with me. My mum for encouraging me every morning. Thanks to all radio presenters, Djs and the entire coast music fraternity for making my music reach my fans out there. Am really humbled and grateful. Thanks for making me the Queen! I love you all."

WINNERS KENYA COAST MUSIC AWARDS 2014

Image
1.Freelance Dj of The Year-VDJ PHAUZ 2.Television Vj of The Year 2014-VDJ PHAUZ 3.Male artiste of the year-Sudiboy 4.Female artiste of the year-Sis P 5. Male Radio Presenter - Billy Miya baraka fm 6. Female Radio Presenter - Nelly Mwikamba baraka fm 7.Radio Show (Coast) - Tiba Ya Mwambao baraka fm 8. News Anchor - George Otieno baraka fm 9Dj Lenium-SHOWBIZ GURU OF THE YEAR. 10.Dj Tally-Club dj of the year 11.NAONA BADO BY SUDIBOY & AMILEENA-BEST COMPOSED SONG OF THE YEAR 12.NAONA BADO BY SUDIBOY & AMILEENA-COLLABO OF THE YEAR 13.SUDIBOY-MALEARTIST OF THE YEAR 14.AUDIO PRODUCER OF THE YEAR-PRODUCER AMZ 15.BEST ENTERTAINER OF THE YEAR-DAZLA 16.Taarab presenter of the year-Bishara Aden pwani fm 17.Promising artiste of the year-Alkenia-Luv 18.Best video of the year-Phonto by Benso & Miss GG 19.Hip hop artiste of the year-Kaa la Moto 20.Best video producer-Bullet 21.Best dance crew-Tsunami Dancers 22.Radio presenter promoting vernacular language-Beatrice Dama radio kaya 23.Ngo...

SISTA SHANIZ AJIBIZANA VIKALI NA BACKSTREET ENTERTAINMENT!

Image
Huku mabo yakiwa dijitali sana na vyombo vya kupitisha habari vikizidi,pwani haijawachwa nyuma.Tulianza na vituo vya habari hadi sasa tunao bloggers wakali wanaotembeza habari sio za sanaa pekee bali za kila aina.Huku blogger Backstreet entertainment akizidi kupamba moto na kuwapa habari za sanaa ya pwani pindi zinapochipuka.Radio presenta Sista Shaniz wa kipindi Kaya Flavaz cha radio Kaya yaonekana hapendezwi na kazi anazofanya blogger huyu na hakuchelewa kumuingilia.Papo hapo majibizano yalizuka kwani Backstreet entertainment hakutaka zuri au baya la presenta huyu wa kike.Hivi ndivyo mambo yalivyojiri.............