NATUMIA HELA YANGU MWENYEWE. DAZLAH AKANA KUMTEGEMEA LIZZ JAHSOLJA!!!!
Huku ufanisi wake kimuziki ukizidi kufana, kidekide master almaarufu Dazlah Kiduche amejitokeza kupiga duster mambo flani. Dazlah aliye chini ya promoter na mfanyibiashara Lizz Jahsolja kupitia gazeti la People Daily, amekana madai ya kuwa uhusiano wake na Lizz ni wa kufadiana kihela.
Msanii huyu aliongeza kuwa japo kuna mahaba kati yao, uhusiano wao ni wa kimuziki na biashara zinazooana na muziki. Kando na hayo Dazlah ameonekana sehemu kibao na Dada huyu wakivuja hela kuwa starehe za kigharama ajabu.
Comments
Post a Comment