"KAZI YAKO NI KUIMBA QASWIDA. OTILE BROWN HUMWEZI MASAUTI!" - RAPPER KASSAMONEY APASUA MBARIKA.
Tushamzoea rapper Kassamoney kuwa mbishi na mkosoaji kwa kila linalomkera. Hapa basi ameuanza mwaka kwa fujo tele kwani baada ya kumgoa msanii Lil Felly ameamua kuchukua upande wake kwenye kukuru kakara za Otile-Mswazi. Kassamoney aliyeachia video yake ya TUKO TARA hivi majuzi alikuwa mwingi wa maneno akimkosoa Otile Brown akimwambia kuwa hajui kuimba lolote isipokua QASWIDA.
Rapper huyu mbishi alikuwa na haya ya kupitisha..........
"Let me set Things Right
Do not believe in Hype
#Otile_Brown Unafanya #Qaswida of whch ndo uko Best at... Hyo Dejavu ni qaswida type of music if im nt wrong.. So dnt brag a bout it
Its Only in Kenya Where Media na fans wanakuwa foold na Vitu ndogo ndogo kama izo... Walio kusigne Walibabaika, #Ghafla_Kenya nao vile Vile Wakababaika A bout it.. #radios and #Tvs Wanababaika a bout it
You Can nevr be better than #Masauti
better than #Brown_Mauzo
Better than #IDDY_SINGER
Yall do diff styles
Kenyan Media Hyping you is just like giving a shout out to diamond whch is normal to us.. hao Watu wanakupea shavu are the same people hupea shavu Mziki wa inje ju wanababaika
Otile U brag a lot bro
But this is wat i can tel you.. Ka Ni Qaswida Humshindi Hata #BKZ
mayb humjui
Huwezi beat #PrinceADIO hao ndo ujua qaswida inasound vipi
Heard you on One Interview Braging a bout ths Bongo ish.. Mbona Game hukufanyia bongo?
Kenya ndo mahali unaeza Zengua watu na Qaswida especialy Narobi uko ndo watu hawajai take time kuskiza Qaswida..
Qaswida hukuwaga tamu ivo so wanakuhype tu ju hawana time yakujua how many does the same typa music hapa Kenya.. Ka ni kubrag enda ubrag mahali watu wanafanya Qaswida tuone hata kama utakuwa top 100
kwanza Game yenu yakuimba ndo iko na Shida zaidi heri sisi Maraper.. Unaeza anza fikiri Working with Khaligraph ndo umetoka ama kusigniwa kwa Record kubwa ndo umetoka kumbe bado.. Mauzo akirudi coast hubaki ule mauzo tunajua.. Sultani did with khali nasai Bado kwa chat unaweza mtafta umkose
Huwezi Mshinda Masauti End of story."
HIVI JE KATI YA JAMAA HAWA WAWILI OTILE BROWN NA MSWAZZY MASAUTI NANI MKALI ZAIDI.....????

Comments
Post a Comment