LAMINI 3 NDIO WASANII CHIPUKIZI WA KWANZA KUTOKA MOMBASA KUFANYA COLLABO NA NEY WA MITEGO!!!!!


Baada ya kupiga bonge moja la collabo na Barnaba ndani ya C91 Studios,kundi la Lamini 3 likiongozwa na msanii Chris Micky limeamua kutorudi nyuma.Lamini 3 linalotokea pwani ya Kenya,Mombasa lilifunga safari kuelekea bongo kufanya kazi na msanii Ney wa Mitego.Hii ndiyo Mara ya kwanza msanii Ney Wa Mitego kufanya kazi na wasanii wa Mombasa.Meza yetu ya habari iliwasiliana na kiongozi wa kundi hilo Chris na alikuwa na haya ya kunena, "Tunaukubali sana mtindo wa muziki anaoufanya Ney ndiposa tukazama bongo kufanya naye kazi.Ney ni msanii mzuri na kufanya naue kazi ilikua chance moja ambayo hatuyawahi isahau.Nyimbo yetu bado ipo jikoni inaandaliwa na hivi karibuni tutaiachia hewani."
Vilevile wasanii hawa wana nyimbo yao kwa jina DANCE itakayo achiliwa hewani wakati wowote.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA