GOVERNOR 001 KUMLETA NICKI MINAJ BAADA YA CHRIS BROWN!!!!


Yaonekana kaunti ya Mombasa itarikiwa kupata masupastaa mpwito mpwito mwaka huu. Baada ya kuwaleta Nyota wa muziki kama vile Alikiba,Diamond,Vannesa Mdee,Wizkid na Chris Brown Gavana wa Mombasa almaarufu Sultan ukipenda Ali Hassan Joho aliwapa ahadi mashabiki waliohudhuria tamasha la MombasaRocks,kuwa atamleta Nicki Minaj kuperform hapa Mombasa.

Chini ya ministry ya Tourism, kaunti ya Mombasa imekuwa mstari wa mbele kukuza jina lake kupitia tamasha mbalimbali ziandaliwazo ili kuipa sifa kaunti hii kiutalii.
Hivyo basi,wapenzi wa Nicki Minaj kuweni tayari!!!!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!