Alishika
sana chart za muziki wa pwani na kuingia mitini. Baada ya kimya kirefu
mkali wa hiphop ambaye wengi hupenda kumsifu kiupande wa commercial
alirudi kimtindo na kutubwagia zigo kali kwa jina MIC-CHECK. Katika wimbo
huo Crazy-K amesema wananiita kwa Cypher na bado nawashinda.....mara
wanakuja wanapotea kama nyimbo za grandpa. ...Hii inadhihirisha wazi kuwa
kunayealiyekuwa anamuingilia
hasa kwenye sanaa ys pwani kwani pwani ndiko one hit wonders wengi.Je
unadhani ni nani aliyekuwa akishambuliwa kwa diss hii?
WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA
Mwanamuziki tokea pwani ya Kenya,P-day ametoa kauli yake kuhusiana na matukio ya mauaji ya wazee wanaoshukiwa kuwa wachawi pande za Kilifi. Msanii huyo aliyetamba kwa kibao tarumbeta,Nylon guitar,Visingizo,Niringe naye na vinginevyo amedokeza haya kupitia ukurasa wake wa facebook akikashifu vikali vitendo hivyo. P-day alisema ya kwamba usemi wake anaopenda kuusema kwa nyimbo zake....."MZEE HATEMEWI MATE" unapaswa kuwa kauli mbiu itakayochukuliwa na kuwekwa kama mtajo utakaowaokao wazee kutoka kwenye janga hili. Tukinukuu kutoka alichonakili kwenye akaunti yake ya facebook..... "Social cohesion department to buy the mzee hatemewi mate lebol ( uzee si uchawi ) nliamka tu nkatunga hii lebol din't know itafika huku ........Sasa vijana kilifi county walianza kuua wazee kwa kua niwachawi BT sio Kila mwenye mvi ni mchawi ..let's respect the old" JE MAONI YAKO NI YAPI KUHUSIANA NA PENDEKEZO LA P-DAY KUHUSIANA NA WAZEE KUUAWA?
Comments
Post a Comment