Lovemumz arudi tena chini ya Tee hits studio


Binti mshindi wa tuzo za Nzumari na Coast awards amerudi tena kwa kishindo kikuu. Mrembo Huyu ambaye yasemekana alikuwa Tanzania amerudi na kuruka ndani ya Tee hits record na kutayarisha kibao kikali kwa jina Melody. Mashabiki kuweni tayari kuupokea ujio hii mpya.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA