MSANII SENIOR DODGER APATA AJALI NA KUUMIA


Ni habari za kusikitisha za msanii Senior Dodger aliyevuma kwa kibao 'fall in love' aliyepata ajali mbaya.Senior alipachika picha kwenye mtandao wa facebook zinazoonyesha kuumia kwake. Pwani Usanii twatuma pole zetu.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA