WILBERFORCE WA HEARTBEAT ENTERTAINMENT ATOA ONYO KALI!!


 Wilberforce Jeff Mwikya ambaye ni promota wa kusifika hapa pwani, ametoa onyo kali kwa wanaotumia jina la kampuni yake kutafuta show na kuwalaghai wasanii. Promota huyo kwa hamaki alitueleza kuwa kuna baadhi ya watu wanaowahadaa wasanii na washika dau wa wa muziki kupitia jina la kampuni yake HEARTBEAT ENTERTAINMENT. Promota huyo alinena haya......." PRESS RELEASE!Am hereby giving strong warning kwa wale wenye kujipa shavu using my own signed company HEARTBEAT ENTERTAINMENT. Mtu yeyote atakayepatikana akiwalaghai wasanii au mtu yeyote using the label without my consultation will be sued acordingly....Simba akinyeshewa haimaanishi kalala." Habari ndio hio,washaipata!

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA