COAST ALL DIVAS AFFAIR!! WANADADA KUMI WAHITAJIKA HARAKA KWENYE COLLABO YA SQ RECORDS!

 Chini ya produza Amz Jadidi, SQ records inawaleta pamoja wasanii chipukizi wa kike kumi kufanya collabo kali. Produza Ammz alinena haya kupitia facebook....." Je, wewe ni msanii wa kike unayechipuka kutoka hapa Msa na unahisi una uwezo wa kuthibitisha talanta yako? Jiunge na wenzako kwenye collabo kubwa ya wanadada 10 inayoendelea kufanyika. Masharti; Usiwe msajiliwa wa studio yoyote na usiwe umechezwa katika radio yoyote. Piga nambari....0789601555." Kina dada ni wakati wa kuskika,nafasi imejitokeza

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!