PRESENTER GATES AKASHIFU NYIMBO MPYA YA ODINAREH BINGWA LIVE ON AIR.

Ni juzi tu tulipotangaza kuwa Odinareh bingwa,msanii wa hiphop hapa pwani anawachilia kibao kipya kwa jina NUSU SAA NA RAIS. Leo hii kibao hicho kilichokuwa kinatambushwa live on air kilipondwa na kukashifiwa vikali na presenta wa show ya Mashavmashav pwani fm Gates mgenge.Presenta huyu mwenye umahiri mkuu kwenye tasnia ya muzki wa pwani alidai kuwa wimbo huo Odinareh amechemsha kabisa na hasa pale anaporap kuwa Senator Mike Sonko huvuta.Hayo ni maoni ya Gates mgenge tu,je wewe yako ni yapi. 

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!