OHM'S LAW AMSHIRIKISHA SIMPLE BOY KWA WIMBO POLENI.


Alijitosa kwenye anga za muziki na kuapa kujibidiisha kila uchao, tunamzunguzia Rapper Ohm's law Montana. Msanii huyu ambaye kwa sasa ameziteka nyoyo za mashabiki kwa kuipiku style ya hiphop na kuitendea haki,ametoa kibao kipya kinachowazungumzia mashujaa waliotuacha. 
Wimbo huo kwa jina 'poleni' uliandaliwa chini ya mbawa zake produza Teknixx huku mkali wa mafleva ya maloveydovey Simple-boy akidondosha chorus ya uhakika.Wimbo huo tayari ushaanza kupata ufanisi mkuu na Ohm's law ametuhakikishia kuiandalia nyimbo hio,video kali itakayowaacha wengi wetu wazi.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA