MAKE A NAME VIDEO ODINAREH BINGWA ft OHM'S LAW MONTANA.

 Wakali wa mistari na wakwasi wa mtindo wa hiphop,Odinareh na Ohm's law wamekamilisha video yao ya 'make a name'.Huku wakiendeleza mtindo wa hiphop wasaníi wamedhihirisha uwezo mkuu kwa wimbo huo kukaa kwa chart ya pwani fm mashavmashav nambari moja kwa kipindi kirefu.Japokuwa video hio ilichukua muda kuandaliwa,tulipowasiliana na Odinareh alitueleza kuwa video hio kwa sasa ipo tayari na mashabiki waipokee vyema.Hivi majuzi Odinareh alipanda stage moja na msanii Octopizo kwa tamasha la Coke.Vilevile,msanii alitudokezea kuwa anatayarisha nyimbo kali akimshirikisha msanii fulani wa Nairobi aliye na ufanisi mkubwa.
cheki ngoma yenyewe hapa

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA