DOGO RICHIE - MAPENZI HAYANA MJUZI Lyrics

Oooooohhh 
hayana mjuzi 
Yeeeeaaahh 
Oooooohhh Aaah Ndivyo yalivyo hayana mjuzi Sivyo yalivyo …. 
Eh bwana Eeeeh
VERSE 1 
Wanasema mapenzi maji ya moto ukicheza yatakuunguza, 
Wako wengi wamepitia changamoto za mapenzi tukawapoteza, 
Yeaah anakwambia I love, you kumbe moyoni hupo ndani
 Eti baby I miss you, kumbe mwenzako kifuani 
Anakwambia I love you, kumbe moyoni hupo ndani 
Eti baby I miss you, kumbe mwenzako yuko ndani 
Kumbe unaempendaga, hajakupendaga 
Na anaye mpendaga, hajampendaga … Aaah 
CHORUS 
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, 
hayana mjuzi Mapenzi kwanza, 
Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo 
Mapenzi bwana, Ndivyo yalivyo, 
kumbe hayana mjuzi 
Sivyo yalivyo, kuwa tayari kuwa soo 
VERSE 2 
Mapenzi hebu tangulia, ushatawala dunia 
Aaah Nani hajalia, Eeeeh Aaah Umewakata wengi nia, na wakadidimia
 Aaah hebu tulia, Aaah kwani huchoki umizaa 
Mara unaempendaga, hajakupendaga Na anaye mpendaga, hajampendaga 
Mara unaempendaga, hajakupendaga Na anaye mpendaga, huyo huyo anamzengua 
CHORUS 

VERSE 3 
Ukipenda ukate Kumbe (ndivyo yalivyo) 
Yatakupeleka mbali kumbe (ndivyo yalivyo) 
Utaona umefika sana Kumbe (ndivyo yalivyo)
 Ukiwaachwa mataani bwana (ndivyo yalivyo) 
Ukisema hutapenda tena (ndivyo yalivyo) 
Kwa maumbile na hisia bwana (ndivyo yalivyo) 
Yashapoteza wengi sana tena (ndivyo yalivyo) 
Wenye mapeni na wasio nayo (ndivyo yalivyo Oooh)
 Yeeah (nimechoka kutafta mapenzi kila siku) 
Oooh (itabid nirudi kwa wazazi niuulize ni vipi) 
Yeeahh (wali’maintain mapenzi vipi mpaka tukakua) 
Oooh (sisi wanawao na mimi nkipata mpenzi basi niishi vipi Oooh) 
Yeeah haya mjuzi Ooooh haya mjuzi Yeeah haya mjuzi sana Papa Emmy haya mjuzi Emmy Nmechoka bwana

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!