SISI WATU WA KAWAIDA NDIO TUTAUBADILISHA MUZIKI.KIGOTO AFUNGUKA!
Msanii Kigoto ameamua kupasua mbarika kuhusiana na ishu ya muziki wa pwani kupepea zaidi.
Msanii huyu aliyevuma kwa mara ya kwanza kwa wimbo wake KICHAPO CHA MAPENZI alisema ya kuwa watakao ugeuza muziki wa pwani ni wasanii wa kawaida tu.
Hii inaashiria kuwa,Msanii huyu bado yualilia kutoka kwenye muziki na kuvunja boarder za Afrika Mashariki.
Japo ni kitambo tangu tusikie nyimbo yake akiwa pekee,ni matumaini yetu kuwa Kigoto yupo jikoni kutuandalia vibao motomoto.
Comments
Post a Comment