YANAYOKUMBA PRODUZA TEE NI YAPI?
Baada ya tetesi ya kuwa msanii Wynas ameitupilia mbali studio ya Tee Hits na kujiunga na management nyingine.
Yaonekana producer Tee yamemgonga mahali maswala haya.
Wynas hivi majuzi alikuwepo studio ya Mwamba records akipiga collabo na msanii Dully Melody na hivi majuzi kwenye redio fulani,kulitangazwa kuwa Tee hakuwa na uhakika kama Wynas amekatiza mkataba au la.
Katika pitapita zetu mitandaoni tulikumbana na post hii ya producer Tee.....inayozua maswali mengi......
Comments
Post a Comment