MSANII FAT-S AJIUNGA NA SIASA NA KUPIGANIA KITI CHA MCA TIMBWANI WARD LIKONI!
Fat-S mtoto wa Nyanya ameamka na raundi hii sio kimuziki bali kisiasa.
Msanii huyu wa vibao motomoto kama vile kadem,Ananipenda,Kufa Kuzikana na vinginevyo ameonekana kwenye mtandao akieneza kampeni zake.
Japo hatujui kama ni kutafuta kiki za kimuziki tu,umaarufu au nini....Fat-S amekuwa akiwauliza mashabiki zake maoni yao kuhusiana na yeye kujiunga na chama kipi cha siasa.
Je mwaonaje....ni busara si busara?
Comments
Post a Comment