Posts

Showing posts from July, 2015

Hivi ndivyo SUDI BOY alivyopagawisha CLUB TRIBEKA ‪#‎WakilishaEastAfrica‬ kwenye show ya ‪#‎MsetoEA

Image
Sudi boy yupo Nairobi kuipromote wimbo wake mpya, Kule Kule aliyo- ilaunch Club Tribeka, Nairobi. Picha kwa Hisani ya Mzazi Willy M Tuva

Ulafi, Ubinafsi na Uzembe ndio shida ya sanaa ya Pwani, asema Producer Baindo

Image
Huku tukisubiri kazi anazozipika chini ya studo yake Bigfoot productions, sound engineer Producer Baindo amefungua roho na kusema sanaa ya pwani imekataa kukuwa kwa sababu ya Ulafi na Ubinafsi kati ya washika dau. “We don't have team work as Producers, Artists, promoters and the executive producers. Pia, wasanii wengi ni wazembe na they lack originality and end up sampling music from outside. Most of “our hits are from TZ or Naija, it's high time we brand our own music.” amesema Baindo. Huku wengi wakisubiri kazi mpya kutoka kwake, Baindo amedokezea mwandishi wetu Gdwin Wambua kuwa tayari ameshaagiza mitambo mpya kutoka Dubai, kazi iliyo mgharimu zaidi ya milioni tatu.

Je msanii Susumila alimwacha mkewe sababu yake Kush Tracey?

Image
Baada ya kukiri kuachana na mkewe, msanii tajika Susumila almaarufu "Mr President" , anadaiwa kuwa na ukuruba wa kimapenzi na msanii wa kike kutoka Nairobi, Kush Tracey msanii anayetamba na ngoma ya Huezi Nidandia. Akihojiwa na kituo kimoja cha radio mjini Mombasa, Susumila aliweka bayana kuachana na mkewe ambaye amezaa naye watoto wawili. "Yeah ni kweli tuliachana na mke wangu" alikiri msanii huyo. Alipoulizwa kuhusiana na Kush Tracey ambaye tayari ashafanya naye colabo kama ana uhusiano wa kimapenzi naye alijibu kwa ufupi "No comment". Naye Kush Tracey alipoulizwa kama yeye ndiye aliyemfanya Susu kuachana na mkewe ili ampate Susumila pia yeye alijibu,"No comment". Wawili hao tayari washafanya collabo inayotamba kwa jina Umenitosha, ngoma iliyosukwa na AMZ na Amoh Lakini maswali yanayo wagonga vichwa mashabiki na washikadau wa mziki ni je wasanii hawa wawili wanauhusiano wakimapenzi au ni mziki tu? Mambo ya collabo hayo. ...

COLONEL MUSTAPHA ATOA VIDEO KALI ZAIDI YA PORNOGRAPHY!!!!!

Image
Yaonekana maneno na wosia wa msanii Nyota Ndogo kwa msanii Colonel Mustapha yaliambulia patupu au yaligonga maskio yenye nta. Mustapha baada ya video ya DODOMA SINGIDA iliyokuwa moto wa kuotea mbali, msanii huyu inasemekana yupo tayari kuachilia video ya kusisimua mwili itakayozua balaa kibao. Msanii huyu aliyekuwa kwenye kundi la Deux vultures akiwa na mwenzake Nasty Thomas amekuwa akikumbwa na tetesi kibao.

OTILE BROWN-APEPERUSHA BENDERA YA MUZIKI WA PWANI JUU ZAIDI

Image
Otile Brown msanii anayetokea papa hapa pwani ila anafanyia muziki wake Nairobi ameamua kufunguka na kueleza mashabiki mambo mazuri. Msanii huyu ambaye kwa mara ya kwanza tulimsikia kwa kibao chake kikali IMAGINARY LOVE alichomshirikisha Khaligraph Jones ametueleza kuwa yupo tayari kuwapa burudani la kukata na shoka na amefurahi sana jinsi wa pwani walivyoupokea wimbo wake mpya kwa jina DE JAVU. Akiwasiliana na mwandishi hodari Godwin Wambua wa Pwani Usanii,   Otile alikuwa nwenye furaha kusema kuwa amekubalika nyumbani pwani na Kenya nzima kwa jumla na hivi karibuni Afrika mashariki itamtambua vilevile. Kwa sasa wimbo wake wa DEJA VU unatawala chati za muziki wa Kenya. Otile Brown amesajiliwa kwa studio ya DREAMLAND MUSIC chini ya usimamizi wake Dr.Eddie

HIVI MSANII DOGO RICHIE ANAWATONGOZA MASHABIKI ZAKE....????

Image
Hivi majuzi meza yetu ya habari kupitia ujumbe wa facebook ilipewa habari kabambe kutoka kwa mwanadada kwa jina REE THE BOSSET kuwa Msanii DOGO RICHY anamtongoza kimapenzi. Mwanadada huyo alitutumia jumbe za simu zenye maongezi yake na Dogo Richy. Jumbe hizo ambazo zina maneno mazito mazito tumeshindwa kuziweka hapa kwa sababu ya adabu na heshima ya Dogo Richy na Ree The Bosset. Dogo naye kwa sasa anavuma kwa video yake mpya ya Hayana mjuzi.Jitihada zetu za kuwasiliana na Dogo Richy hazikufua dafu ila swali ni je ni kweli. Dogo Richy anawanyemelea mashabiki zake wa kike?

SUSUMILA AZUNGUMZIA SWALA LA TALAKA YAKE.. Je kwanini alichana na mkewe? Soma hapa upate uhondo kamili

Image
A celebrity getting divorced in Kenya is a rare headline. We don’t remember when we last read about an artiste going to the courts on that matter. Anyway, Susumila has revealed that he is divorced and had to do so, in order to focus on his music. Susumila, a father of two, also revealed that he has always taken care of his family’s needs and that being both an artiste and family man was no easy task. “Music takes most of my time and when someone tries to stop me from doing it, then it becomes difficult for us to be together,” he stated. Susumila Brand has been on the rise after his two recent collabos Kide Kide with Dazlah and Ngoma Itambae with Chikuzee received massive rotation across the region. Source People Daily.

I'M DATING DAZLAH AND ITS NOYB, LIZZ JAHSOLJA ASEMA

Image
Entertainment industry without showbiz, loses its glam and what keeps it interesting, is the main actors of the game. We have a short video of Pacho Entertainment artistes and producers dissing Grandpa Records artistes. After Coast based blogger, Pwani Usanii, posted pictures of music promoter Lizz Jahsolja and Kide Kide hit maker Dazlah getting cosy, the promoter has come out to refute claims that the two are dating for money reasons. Lizz, who has been in and out of the country on what she told Spice to be ‘business trips’, is angry that people are concerned with her private life. “We are good friends with Dazlah and when he was signed at Candy n Candy Records, he would even help me when I was in financial straits. I don’t see the problem of posting his pictures on my wall, after all we are dating,” she ranted. Source People Daily.

TAZAMA PICHA ZA HIPHOP BEYOND MIC HAPA

Image
Ni event iliyowaleta washikadau wa sanaa ya pwani hasa wale wanaogemea mziki wa hiphop. Baadhi ya waliohudhuria ni msanii wa hiphop Hustla Jay, Okoth Oyiera wa Malindi Records na Marvin Brudas