SWAHIB WA MASSELE -"POLE"


Swahib wa Massele ni msanii tokea maeneo ya Kilifi. Msanii huyu ambaye vilevile ni produza wa Baseline records ameachia kibao chake kipya kwa jina “Pole”.
Tuliwasiliana naye na alikuwa na haya ya kunena.......
"Nilifaa kuachiliwa nyimbo yangu tarehe 30, mwezi wa November Mwaka huu. Lakini kwa sababu ya kutoelewana baina yangu na management, nyimbo ikachelewa kutoka. Hivyo basi, kwa kuwa nimekuwa msanii wa kujitegemea mwenyewe ninawachilia nyimbo hii tarehe 8/12/2015, ambayo itakuwa jumanne."
Nyimbo hii imekomesha kimya chake kilichokuwa cha Zaidi ya nusu mwaka, na sahii Swahib amerudi na nguvu mpya."

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA