Mziki wangu wazidi kung'ara baada ya Grandpa Records, Asema Kidis


Msanii Kidis   aliyevuma kwa kibao chake Kamua leo,  amekiri kuwa taaluma yake ya kimziki imekuwa nzuri zaidi baada ya kuachana na Grandpa Records. Msanii huyu ambaye ametoa kibao chake kipya Viroboto kinacho zidikuchezwa kwenye stesheni mbalimbali,  anasemekana kuzozana na CEO wa Grandpa Records Refigah, alisema kuwa career yake  inazidi kuwa better baaada ya kuachana na Grandpa ambayo alisema hakufikia  targets zake alipokuwa pale. Hata hivyo Msanii Kidis aliongezea kuwa mziki umekuwa mgumu sana kwani hata maDJs, maproducer na hata mapresenter siku hizi wanaimba. Aliongeza kusema sasa yuko free kufanya mziki wake katika production yoyote.
BY Nina Kagia

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!