HIVI DOGO RICHY NA CHIKUZEE WALIKUWA WANAMJIBU SUSUMILA KWENYE WIMBO WAO MPYA????


Baada ya Susumila kutoa wimbo TULIZA NYAVU akiwaingililia baadhi ya wasanii ambao hakuwataja kwa jina.Dogo Richy na Chikuzee walikuja pamoja kufanya collabo kwa jina MUZIKI ambayo twashuku sana ilikuwa reply ya TULIZA NYAVU.Kwenye intro ya wimbo huo maneno haya yanaskika.............
"tutulize nyavu vipi ilhali nyavu zenyewe zimetoboka"
Sasa hayo mengine mtajaza....

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA