CHAPATIZO AZUIYA NGOMA YETU, Promoter wa Wasiojali Band adaisha



Promoter wa Wasiojali Band Athman baba akizungumza na mmoja wa wadaku  wetu amesema Chapatizo ambaye alikuwa ameimba nyimbo hiyo pamoja na Susumila, nakuihama green house aliacha wimbo huo bila kuifanyia mastering na hata kutishia kuifuta baada ya Susumila kuifanya tena na wasojali band.

Promoter  huyo amedai msanii tajika Susumila aliataka vijana hao kurudia stanza kadhaa, hali ambayo ilichochea kufanywa upya kwa nyimbo hio ambayo kwa sasa imetoka na iko kwenye radio mbali mbali, lakini hilo linamuuma sana Chapatizo ambaye aliagiza ngoma ifutwe akidai aligharamika kwa kuitengeneza ngoma .

Ngoma hiyo inayo julikana kama Jirani iliachiliwa wiki iliyo pita na kwa sasa inafanya vizuri baada ya Susumila kupush kuachiliwa kwa pini hilo.

Kundi la wasojali linawajumuisha Ability,Hamso , Jaybro na Kamalu.
By Nina Kagia. 

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!