MSANII AMTAFUTA KAKAKE.JE HUYU NI NDUGUYE RINGTONE??pata ukweli hapa..........

Msanii Ringtone alipohamia jijini Nairobi na kuiaga pwani kumbe kawacha ndugu wa kiume huku?
Hii ni baada ya msanii Peter Kayroz kuja hadharani na kutueleza masaibu
yanayomkumba kuhusiana na familia yake. Kayroz ambaye ni msanii anayechipuka anadai ya kuwa hawajui wazazi wake na anaishi kwenye streets vilevile anafanana na Ringtone sana. 
"Watu wengi sana wameniuliza kuhusu familia yangu na wanashangaa sana jinsi mimi na Ringtone tunavyofanana.Ukweli ni kwamba nimekuwa nikimtafuta Ringtone kwa udi na uvumba ili nibainishe ukweli.Nimeteseka sana kuishi peke yangu kwa street na wakati umefika nianze kutafuta ndugu zangu........"Alieleza Kayroz.
Ulimtazama Peter Kayroz utabaini kuwa ni kweli anafanana na Ringtone.

Kilichobaki ni Peter Kayroz na Ringtone wakutana tujue ukweli.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!