Posts

MSANII ANAYECHIPUKA AANGUKIA BONGA LA DILI LA KINYWAJI CHA EIGHT VODKA!!!

Image
MSANII ANAYECHIPUKA AANGUKIA BONGA LA DILI NA KINYWAJI CHA  EIGHT VODKA!!! Yaonekana mwaka umemuanzia vyema msanii Nassizu Murume. Msanii huyu aliyesajiliwa na kampuni ya Watanashati Classic ameangukia bonge la dili itakayo mpa yeye kiki ya kueleweka kwenye ukumbi wa burudani. Nassizu,kwa sasa ndiye brand ambassador wa kinywaji cha pombe ya  eight Vodka kampuni ikiwa ya Tihan limited company. Huku akisubiria kuachia video yake mpya iliyoandaliwa na Johnson Kyalo,msanii huyu vilevile yupo katika pilka pilka za kupiga show kalikali nje ya nchi. Mwaka Jana ,Nassizu Murume aliachia kibao MAWAZO kilichopeta sana na kumpa jina la kisawasawa.

Grandpa Records yaleta Mentporship Programme Pwani....

Image
Label inayomilikiwa na Refigah na inayotamba nchini Grandpa Records, itakuwa ikifanya mentorship programme huku ikirecord wanamuziki kupitia mobile studio yao. Hii ni shughuli itrakayofanyika kuanzia tarehe 1st to 5th March, pale Swahili Pot.

DIAMOND PLATNUMZ LANDS AT #1 ON ITUNES IN KENYA

Image
It’s the year of Tanzanian singer/songwriter Diamond Platnumz. His latest hit single “Marry You,” featuring American R&B icon NE-YO has already landed at the #1 spot on ITUNES (Kenya), announces Africa Creative Agency (ACA). Diamond Platnumz’s “Marry You” is a monumental release for East Africa, and Kenya in particular because the song was recorded in Nairobi, Kenya (2015) and it’s his first major label release since becoming the first East African artiste to sign to Universal Music Group - the world’s leading entertainment company. On top of that, Africa Creative Agency in partnership with SK Entertainment recently secured a record and publishing deal for Diamond with Universal Music Group. Diamond and NE-YO have kept close contact since their first meet up in Kenya. Through “Marry You”, the label mates flaunt a successful show for their camaraderie. The video shot in Los Angeles and Johannesburg has already surpassed 2 Million YouTube views in just 2 weeks, and i...

NDEGZ x COLD STONE VALENTINE'S DAY (14TH FEB 2017)

Image
Just a week after the release of his delectable new single and video  “Dessert” , Ndegz has another treat for his fans this Valentine’s Day. As part of the promotions for his latest single, Ndegz teams up with world-renowned ice cream giant Cold Stone Creamery, to treat his fans to a little “Dessert” come  Tuesday 14 th  Feb Valentine’s Day, 2017. Ndegz will take on the role as Chief Chef behind the granite cold stone at Mama-Ngina Street. He will be serving up dessert to all so come in numbers. Watch YouTube DESSERT:   https://www.youtube.c om/watch?v=H7OWy-n-Sao The campaign dubbed “Come Get A Little Dessert” is pulled directly from the lyrics of the song. Ndegz will also be giving customers and fans a chance to win an array of goodies and ice cream simply for sharing the “Dessert” music video with the hashtag #ComeGetALittleDessert across their social media pages and tagging both Ndegz and Cold Stone Creamery. Not just your ordinary ice-cream...

MAN AZZER NA DONI WAMSHIRIKISHA DULLY MELODY KWA WIMBO MPYA SIRI.

Image
Wakali wa hizi kazi,Island Love records wanaotokea Lamu wamehakikisha kuwa mwaka huu ni wao. Wakiwakilishwa na Produza shupavu Doni na makali wa vokali Man Azzer,kikosi hiki kilipiga kambi studio usiku kucha pamoja na Dully Melody aliyesifika kwa wimbo Yagayaga kuwatengenezea kibao kwa jina "Sifa". Wimbo hup ulitayarishwa studio ya Island Records Lamu na Wapishi records inayopatikana Mtwapa. Tukiongea na Dully Melody,tuliarifiwa kwamba project hii itawachiliwa hivi karibuni.

YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI...

Image
YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI... Mkali wa miondoko ya hiphop anayetokea Malindi amemkaribisha rapper maarufu pwani,Kaa la moto mji wa chocolate city Malindi. Wawili hao tayari washashirikiana kwa wimbo mkali sana uliofanywa kwenye studio za Malindi records chini ya Produza Sango. Video yenyewe iliandaliwa na Marvin Y Brudaz lebo ikiwa ni Malindi records. Cheki hapa...... https://youtu.be/_QQeTtesnsM

YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI...

Image
YOUNG NJITA AMKARIBISHA KAA LA MOTO MALINDI... Mkali wa miondoko ya hiphop anayetokea Malindi amemkaribisha rapper maarufu pwani,Kaa la moto mji wa chocolate city Malindi. Wawili hao tayari washashirikiana kwa wimbo mkali sana uliofanywa kwenye studio za Malindi records chini ya Produza Sango. Video yenyewe iliandaliwa na Marvin Y Brudaz lebo ikiwa ni Malindi records. Cheki hapa...... https://youtu.be/_QQeTtesnsM