BIFU YA DIAMOND NA ALIKIBA, NI SIASA YA TANZANIA. SAUTI SOL YAFUNGUKA

Baada ya kuangusha kibao Unconditional Bae waliyomshirikisha Mkali wa BongoFlava Ali Kiba, Savara Mudigi ambaye ni member wa Sauti Sol, amefunguka na kusema kufanya kazi kwao na Ali Kiba ni hali ya kikazi tu.

“Mambo ya Alikiba na Diamond hiyo ni siasa ya Tanzania,” member wa kundi hilo, Savara amekiambia kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka aliyeuliza iwapo kundi hilo linaona kuwa uimbaji wa Alikiba unaendana zaidi na mtindo wao kuliko wa Diamond.
“Mimi ni msanii, yule ambaye anakuja wa kwanza na yule ninayefeel vibe yake nitafanya naye muziki, muziki utafanywa kila siku, haijalishwi unafanya na nani, mimi nitafanya hata collabo na Diamond, tutafanya collabo na msanii mwingine yeyote,” amesema.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA