BAHATI KUANGUSHA KIBAO CHAKE KIPYA "IN LOVE" LEO
Msanii wa nyimbo za Injili Bahati, hivi leo anatarajiwa kuangusha kibao chake kipya In Love.
Taarifa zinazotufikia ni kuwa Bahati atakuwa akizindua video yenyewe kwenye Jumba la mikutano la KICC, Jijini Nairobi.
Taarifa zinazotufikia ni kuwa Bahati atakuwa akizindua video yenyewe kwenye Jumba la mikutano la KICC, Jijini Nairobi.
Comments
Post a Comment