VITA ULIANZIA WAPI KATI YA MADINI KENYA CLASSIC NA KAA LA MOTO KIUMBE?
Msanii mwenye miondoko wenye flava za kibongo au mwana
mlezi wa mapenzi anaejulikana kwa jina Madini Kenya Classic amponda
msanii wa pwani mwenye mtindo wa kufoka anaetajika kwa jina la Kaa La
Moto Kiumbe kwamba hana mashairi mazito za kuvutia na kuleta maana
kwenye jamii kama ilivyo ada msanii kio cha jamii ila anaungaunga kwa
kutaja watu majina kama vile wasanii wenzake na wanasiasa jambo ambalo
kama msanii kidogo inakera ila Madini anazidi kusema hata hivyo ana
ujanja ya kufanya mashabiki zake wapagawe anasema Kaa La Moto anaiga
msanii wa Tanzania maarufu kama #FidQ
ila bado hajagundua mtindo wake kama mchanaji ...akielezea wasanii
ambao anawakubali amewataja kwenye mchezo wa hiphop anamtaja...#Kaligraph #CrazyK #Rabbit na cha ajabu akagusia msanii chipkizi anae julikana kama #Noblemirror92
na kusema anamkubali sana kwani huyu msanii amewahi mvitia kwa mistari
wenye ukomavu....Hata hivyo alimalizia kusema kwamba amewahi fanya kazi
na Kaa La Moto Kiumbe pamoja na Noblemirror92 akiwa kwenye chorus huku
hawa marapa wawili wakichana....tafta hio kazi kwenye mdundo kwa jina la
#Chiniyajua....
Kutoka kwa @Habari za Nyanza Kisumupacho
Kutoka kwa @Habari za Nyanza Kisumupacho
Comments
Post a Comment