"WACHENI KUBANIA WASANII DANCEHALL HAPA NCHINI" PROMOTER SELECTA KRAS ASEMA!!
Huku kivumbi kikizidi tifuka kwenye ulingo wa sanaa ya
Kenya,yaonekana kuna kundi flani la wasanii limesaulika.Kusaulika kwao
kumeleta gumzo la kiuhakika ndiposa promoter wa muziki Selector Kras
akapasua mbarika.Selekta Kras ambaye ni CEO wa Reunion entertainment
alizua malalamishi kuwa wasanii wa dancehall na ragga wametengwa sana
hapa Kenya.Kras aliongeza msumari moto kwenye kidonda pale aliposema
kuwa wasanii wanaothaminiwa wa dancehall ni Wyre na Redsan
pekee. Kwanini tutumie mate ilhali wino upo, soma alivyosema hapa........
....
"#SADDEST #TRUTH
Most radio listeners cant list beyond two Kenyan reggae / dancehall artists they'll start with #Redsan and stop at #Wyre who has since moved to lingala ... "
Hayo Ni maoni yake tu.Je yako Ni yapi?????

Comments
Post a Comment