NAMELESS AINGIA WASAFI CLASSIC NA KUACHIKIA KIBAO HIKI AKIMSHIRIKISHA BEN POL (SKIZA HAPA)

Nameless sio jina geni kwa wengi wetu baada ya kuwa kwenye tasnia ya mziki zaidi ya miaka kumi na tano.

Baada ya kuachilia collabo na rapper Nyashinski, Nameless amepiga mbizi na kuingia studio ya Wasafi Classics na kufanya collabo na mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol, YAMENIKUTA 


Ngoma yenyewe pia imepitia mikono ya producer Sappy.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.