BREAKING NEWS!!PRODUZA MORBIZ APIGWA RISASI.



Produza mashuhuri wa pwani Morbiz wa studio ya Thundersound iliyopo Maeneo ya Likoni alimiminwa risasi ya kichwa na kufariki papo hapo.

Tukio hili la kuigiza kwenye video ya Jaffarizoh lilifanyika kuonyesha mifano huru ya jinsi utu unavyokosekana kwa ajili ya pesa.

Morbiz alikua anaigiza kama mnunuzi wa shamba pale alipomiminwa risasi ya kichwa. Jaffarizoh,msanii mwenye video hiyo iliyoandaliwa na Bullet wa Stunner Pictures ameonekana akifanya msukumo wa kila aina ili kuipa msukumo video hiyo ya Pesa. Pata kuitazama video yenyewe kwenye mtandao wa youtube jinsi Produza Morbiz alivyoigiza-->>>>>
 http://www.youtube.com/watch?v=CuzLCyRWDAchttps://youtu.be/CuzLCyRWDAc

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!