"TAKE IT SLOW" SKYMER AWACHIA VIDEO YAKE.ITAZAME HAPA!!!



Msanii wa miondoko ya dancehall, Skymer,kama alivyoahidi amewachia video yake rasmi kwa jina 'take it slow.'


Ni juzi tu tulipomuhoji na kuahidi kuwachia video yake wiki hii na tayari ashatimiza ahadi.


Chini ya director sifika kutoka Nakuru,Tomsy,Skymer amejaribu kuonyesha miondoko ya dancehall kama inavyotakiwa.Itazame hapa--->>>
https://youtu.be/SQmfZ-3_ZCQ

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.