FUJO YAZUKA NYUMBANI KISA DEMU WA VIDEO!!!!



Baada ya kutoa video motomoto, msanii anayetokea pwani kusini,Kay Ranks alipigwa na bumbuazi aliporudi nyumbani na kumpata mkewe akifunganya virago.


Kay Ranks,alirudi nyumbani kutoka Nairobi alipokua ameenda kufanya media tour ya kuipa promo video yake ya 'Khadija'.
Inakisiwa kuwa mkewe msanii huyu hakupendezwa jinsi mumewe alivyokuwa akishikana na Binti kwenye video.


Japo hatujabaini kama mke huyo aliandika ama bado yupo kwa Ranks.Video yenyewe imetayarishwa na Stunner Pictures,director akiwa Bullet Babayao.
Pata kujionea mahanjam yaliyomkera mkewe Kay Ranks hapa--->>>
https://youtu.be/WumGNE0sqfQ

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA