Hustlajay Maumau APATA BEMBELEZI ZA Nyota Ndogo !!!!!!!!


Jamaa wa hiphop damu ameamua kulainika na kutapika mahaba. Hustla Jay tuliyemsikia kwa mara ya kwanza kwa kibao chake kikali "minyororo ya haki" ameamua kulainika na kujiunga na kundi la wabana pua.
Jamaa huyo ameshirikiana na Nyota Ndogo kwenye ujio wake mpya unaoleta dhana ya mahaba motomoto.

Kaa mkao wa kula kwani ngoma hio haipo mbali kuwachiliwa.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA