INTRODUCING NEW ARTIST MICK PLANET.


Mick planet ni msanii wa kizazi anaetokea jijini Malindi city. Amefanya nyimbo yake ya kwanza kwa jina Kilio changu ilioandaliwa ndani ya studio ya True Crazy mjini Malindi. Baada ya kutoa kibao hicho ambacho kipo kwa redio station za Pwani. Ameamua kuachia kibao kipya kwa jina Yalaiti alichokifanya kwa Produza Tee, wa Tee Hits Studio. Kibao hiki atakiachia wiki ijao kwa hio anaomba ushirikiano kwa washikadau wa mziki na mashabiki wampokee vizuri ilikuweza kufanikisha azimio lake.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA