AKOTHEE AKAMILISHA KAZI YAKE MPYA NA DIAMOND. Tazama Trailer yake hapa


Ni binti aliyejaa hamu ya muziki na aliamua kutumia juhudi zake zote ili kutamba kimuziki. Si mwingine bali Akothee. Alianza kwa Produza Totti na kuzidi kupanda kwenye chati za muziki hasa za hapa Pwani. Bila kutazama nyuma, alizidi kutamba na kwa sasa ameandaa video moja kali akimshirikisha Diamond Platnumz.


Video hiyo iliandaliwa na Godfather production.

Tazama kionjo hapa  ===>

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA