VIDEO MPYA YA MSANII MAREHEMU BENSO ALIYOKUWA AWACHIE..... ICHEKI HAPA
Msanii Benso almaarufu Benson Katani japo hayupo nasi kwa sasa amewaachia wapenzi wa muziki wake video mpya kabisa.

Video hiyo kwa jina GOD'S PERFECT(akimshirikisha produza Petrooz) ilikua moja ya baadhi ya kazi zake alizokuwa na mikakati ya kuwachia mwaka huu kabla ya kukumbana na kifo chake.
Huku mashabiki na washika dau mbali mbali wakiwa katika hali ya majonzi na kuomboleza, video hiyo imeachiwa rasmi na mwandalizi Ricky Bekko wa Big Dreams.
Rest in Peace Benso na hii hapa video yenyewe -
https://youtu.be/eI16asEBrCE
Comments
Post a Comment