MSANII SIS-P ADAI ATAKA MTOTO NDIO ATOE NYIMBO MPYA HUKU RAPPER KASSAMONEY AJITOLEA KUWA BABA. SOMA UHONDO WOTE PAPA HAPA!!!!!!!


Ni msanii wa kike aliyeshinda tuzo kadhaa mwaka uliopita.Aliyevuma kwa vibao kama TABASAMU na MSUPA,tunamzungumzia Sis-p.Mwanadada huyu alidokeza kuwa anataka mtoto ndiposa arelease nyimbo zake mpya.Sis-P alinakili haya...........
Sis P Queen
"The answer to the question most people ask me, "Sis P watoa ngoma ingine lini?" Today I wish to answer you. I have a number of new songs in store Bt am currently looking for a sperm donor! Come next year I wana be referred to as "Mama Nanii" So the moment I get one I release the songs! So msishangae eti nimenyamaza... That's my current project. If you think you have good traits to be my baby daddy... Feel free to apply. .
Happy Madaraka day to my fellow Kenyans."

Naye rapper Kassamoney yule wa kikosi kikali cha muziki wa hiphop almaarufu Coastside militia hakuchelewa kujitokeza ili awe SPERMDONOR kama wenyewe wanavyomuita.Reply yenyewe ilikuwa kama ifuatavyo.(Tukinukuu).......

Kassamoney Brian
"Dear *Sis P*
I have Never Imagned that One Day This Name wil Appear on One of My Posts bt Today Hahaha ‪#‎Sis_P‬
here IAM
You Aint that Type
Bt Oh My God, i just Wanna F*k You!
So that u stop preaching D8s n getting F*d things
Wale Wasee ulikuwa ukisifu walikuwa wakikubaby sit bt Sai naona umegrow
So Kam to Me i'll take u to Another Stage
If u need Me You'l get me Like 1,2,3 n i'll flood it up
bt if i need you i'l have u like 2,1,0
and you'l start Using Lemons
Its A F*k it Til u get A baby
I give Sons..
No beefing She knows Wat i mean
kam get a Kid na Unikujie na Njugu Karanga
fu*ng u Isn't a Problem Mayb loving you
Your fans needs your Music
so you gettin ababy daddy shud not be a reason to y u shud or shudnt achia your music
am here, Mic Yangu huangalia North ...
Come pop some real champagne
its Funny how ule Chali yako alishindwa kukutia mimba
imma give yah Triplets
ndo ujue vyenye Wanaume wengine si ukuwa Bad news hadi Magazine haiezi chapisha habari zetu ivi ivi."
HAYA SASA TUKAENI TUSUBIRI MTOTO NA MUZIKI MPYA KUTOKA KWA SIS-P.....

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA