KELECHI ADONDOSHA VIDEO MPYA 'WATAISOMA NAMBA'


KELECHI ADONDOSHA VIDEO MPYA 'WATAISOMA NAMBA'


Msanii produza Kelechi Afrikana amejibwaga tena ulingoni. Msanii huyu aliyechini ya kubwa studios ameangusha kichupa chake kipya kabisa alichomsihirikisha Dj 2one2 . Msanii huyu mwenye sauti nzito yakuvutia na kunasa hisia amekua akitoa hit after hit na zinapokelewa vyema.

Video hii imeandaliwa na Director Ricky Bekko na usafi wa picha na mnaso wa rangi umeipamba vyema video hii. Mandhari ya kuvutia na uhalisia wa hali ya juu umetumika. Tusiandike kwa mate ilhali wino upo jitazamie mwenyewe hapa--->
https://youtu.be/nxeBev6C_8w

https://youtu.be/nxeBev6C_8w

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA