MAN AZZER NA DONI WAMSHIRIKISHA DULLY MELODY KWA WIMBO MPYA SIRI.


Wakali wa hizi kazi,Island Love records wanaotokea Lamu wamehakikisha kuwa mwaka huu ni wao. Wakiwakilishwa na Produza shupavu Doni na makali wa vokali Man Azzer,kikosi hiki kilipiga kambi studio usiku kucha pamoja na Dully Melody aliyesifika kwa wimbo Yagayaga kuwatengenezea kibao kwa jina "Sifa".

Wimbo hup ulitayarishwa studio ya Island Records Lamu na Wapishi records inayopatikana Mtwapa.
Tukiongea na Dully Melody,tuliarifiwa kwamba project hii itawachiliwa hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA