JOE WA CANDY N CANDY BAADA YA KUWAPIGA TEKE WASANII WA PWANI...AJITOSA KWENYE KINYANGANYIRO CHA UONGOZI AMA TUSEME SIASA????


Mmiliki wa kampuni ya Candy n Candy entertainment almaarufu kama Joe, amevunja ukimya wake baada ya kuingia mitini.

Joe aliye na hulka ya kuinua na kupoteza vipaji vinavyoibuka hasa vya papa hapa pwani yasemekana amejitosa kwenye siasa ma uongozi. Bingwa Huyu miaka iliyopita ameonekana sana kuingia kwa tamasha za muziki na uandalizi wa muziki na kwa sasa hayo yanaonekana kugonga mwamba ndiposa kaingia kwenye ulingo huu mwingine. Ukistaajabu ya Musa....ya firauni nayo....tusubiri tukio lingine la bingwa Joe wa Candy n Candy.

Comments

Popular posts from this blog

SUDI MANJEWAYNE :THE PWANI KING OF DISS DISSES AGAIN IN HIS NEW SINGLE 'WATAJISHUKU"

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA