ATI CHIKUZEE KAFANYA NINI VILE????????


Muimbaji maarufu kutoka Mombasa Chikuzee hatimaye ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi
10,000 baada ya kuafikiana na usimamizi wa hoteli ya Qwetu kuhusiana na jinsi ya kulipa deni analodaiwa na hoteli hiyo la shilingi 175,000.
Chikuzee alikwenda kujivinjari katika hoteli hiyo na dada mmoja anayedaiwa kuwa mzungu kwa
zaidi ya mwezi mmoja ambapo alishindwa kulipa malipo.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!