ATI HAWA NDIO WASANII WENYE PESA ZAIDI PWANI MWA KENYA?????

Katika pitapita zetu kwenye mitandao tulipata kupitia kwenye habari zilizotuvutia sana.Habari hizi zilizosema eti wasanii  Amourey,Ally-B,Susumila,Nyota Ndogo na Akothee wana mamilioni ya  pesa na hao ndio wanaongoza kwa utajiri hapa pwani.
#MMU4LYF:RESEARCH SHOWS THIS ARE THE FIVE COAST RICHEST ARTIST: bila there investments

5:AMOURY BEIBY:worth 7million

4:ALI B :worth:8million
 3:SUSUMILA :worth 8.8million

2:NYOTA NDOGO :worth:10million

1:AKOTHEE .......(Huyu yasemekana ana mamilioni ya pesa nyingi mno)
HAYA MASHABIKI KUMBE WATU WADOSI NAMNA HII???

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.