P-DAY MSANII WA AHADI.......


Mwaka uliopita msanii P-Day na Alkenia Luv waliwaahidi dancers wote wa Mtwapa Talent search season one kwamba watapewa nafasi Kuwa kwenye video ya NIRINGE NAYE.Video ilipotoka,kweli P-day aliitimiza ahadi yake.Video ya NIRINGE NAYE iliyoandaliwa na Jeff Santana ilikuwa na dancers wote aliowaahidi.Leo msanii P-Day ameamua kulipia fee mwanafunzi wa Mwatate mix secondary.Kisa na maana kajiita jina lake P-Day.
"...HAHAHA NIMEPATA HABARI KUA KUNA DOGO FLANI MWATATE MIX SECONDARY ANAJIITA ( PDAY ) NIMESKIA POA SANA COZ AV ONLY SEEN SOME FEW KENYANS CALLING THEMSELVS 2PAC ATHERS BEYONCE,LYL WIZ BT Alocal artist like me aving afan like him!!!, growin wid my name?irealy appreciate....napanga nifike apo nikuone na ikiwezekana nlipe fee mwaka mzima."
Msanii ni kioo cha jamii.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!