Posts

Showing posts from June, 2015

JOE WA CANDY N CANDY BAADA YA KUWAPIGA TEKE WASANII WA PWANI...AJITOSA KWENYE KINYANGANYIRO CHA UONGOZI AMA TUSEME SIASA????

Image
Mmiliki wa kampuni ya Candy n Candy entertainment almaarufu kama Joe, amevunja ukimya wake baada ya kuingia mitini. Joe aliye na hulka ya kuinua na kupoteza vipaji vinavyoibuka hasa vya papa hapa pwani yasemekana amejitosa kwenye siasa ma uongozi. Bingwa Huyu miaka iliyopita ameonekana sana kuingia kwa tamasha za muziki na uandalizi wa muziki na kwa sasa hayo yanaonekana kugonga mwamba ndiposa kaingia kwenye ulingo huu mwingine. Ukistaajabu ya Musa....ya firauni nayo....tusubiri tukio lingine la bingwa Joe wa Candy n Candy.

Tazama jinsi wazazi wa pacha hawa wanne Wachina walivyowanyoa watoto wao ili waeze kutambulika shuleni

Image

TAZAMA JINSI MASTAR WA BONGO WALIVYONG'ARA KWENYE REDCARPET YA KMTA 2015 (PICHA)

Image
Curtsey of Bongo5

ATI CHIKUZEE KAFANYA NINI VILE????????

Image
Muimbaji maarufu kutoka Mombasa Chikuzee hatimaye ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi 10,000 baada ya kuafikiana na usimamizi wa hoteli ya Qwetu kuhusiana na jinsi ya kulipa deni analodaiwa na hoteli hiyo la shilingi 175,000. Chikuzee alikwenda kujivinjari katika hoteli hiyo na dada mmoja anayedaiwa kuwa mzungu kwa zaidi ya mwezi mmoja ambapo alishindwa kulipa malipo.

MSANII SIS-P ADAI ATAKA MTOTO NDIO ATOE NYIMBO MPYA HUKU RAPPER KASSAMONEY AJITOLEA KUWA BABA. SOMA UHONDO WOTE PAPA HAPA!!!!!!!

Image
Ni msanii wa kike aliyeshinda tuzo kadhaa mwaka uliopita.Aliyevuma kwa vibao kama TABASAMU na MSUPA,tunamzungumzia Sis-p.Mwanadada huyu alidokeza kuwa anataka mtoto ndiposa arelease nyimbo zake mpya.Sis-P alinakili haya........... Sis P Queen "The answer to the question most people ask me, "Sis P watoa ngoma ingine lini?" Today I wish to answer you . I have a number of new songs in store Bt am currently looking for a sperm donor! Come next year I wana be referred to as "Mama Nanii" So the moment I get one I release the songs! So msishangae eti nimenyamaza... That's my current project. If you think you have good traits to be my baby daddy... Feel free to apply. . Happy Madaraka day to my fellow Kenyans." Naye rapper Kassamoney yule wa kikosi kikali cha muziki wa hiphop almaarufu Coastside militia hakuchelewa kujitokeza ili awe SPERMDONOR kama wenyewe wanavyomuita.Reply yenyewe ilikuwa kama ifuatavyo.(Tukinukuu)....... Kassamon...

PWANI CELEBRITY AWARDS 2015 NOMINATION CATEGORIES

Image
 NOMINATION CATEGORIES Music: 1. Hip Hop Artist of The Year. (Male&Female) 2. Male Artist of The Year. 3. Female Artist of The Year. 4. Music Group of The Year. 5. Upcoming Artist of The Year. 6. Spoken Word Poet of The Year. 7. Gospel Artist of The Year. (Male & Female) 8. Best Collaboration of The Year. 9. Producer of The Year. 10. Video Producer of The Year. 11. Deejay of The Year. 12. Emcee of The Year. 13. Gospel Emcee of The Year. 14. Dance Group of The Year. Fashion and Design: 1. Male Model of The Year. 2. Female Model of The Year. 3. Campus Model of The Year. 4. Mr. & Miss Campus. 5. Photographer of The Year. 6. Graphic Designer of The Year. Media: 1. Radio Station of The Year. 2. Radio Show of The Year. 3. Male Radio Presenter of The Year. 4. Female Radio Presenter of The Year. 5. Blogger of The Year. 6. Entertainment Magazine of The Year. 7. Facebook Personality of The Year. 8. Swahili Tv Program of The Year. 9. Male Actor ...